Monday, 2 April 2018

Usiku umekuwa mrefu

Mpenzi usiku unekuwa mrefu sana kwani nimezoea kuwa na we we karibu sana, maisha ya Giza yananitesa lini utarudi,? Ningekuwa ndege ningepaa na kufika ulipo nami ningekupatia zawadi ya busy, usiku mwema babe!


No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.