Friday, 5 July 2024

Nimekumiss Tena mpenzi

Mpenzi najisikia Raha sana niwapo nawe Kwa mahaba mazito niyapatayo kwako,wewe ni wapekee utamu wako wazid maelezo.nataman kuwa karibu nawe Kila saa Nile na kushiba mapenzi yatokayo katika moyo mkunjufu.Nakumiss Tena na Tena sukari ya moyo wangu. Fanya haraka uje Nakuhitaj nahamu na mahaba Yako.Mwaaaaa Miss you .


Ukweli Haufichiki.
Nashindwa kujizuia kufurahi Kwa mapenzi unayonipatia na Raha nilizonazo Kwa kuwa na wewe.umenifanya nijisikie watofauti sana wajua kuziweza hisia zangu sema moyo hauongei lait ungeufungua moyo umejaa tabasamu Kila nikuonapo.umekaa mbali nami namiss nikuone nione tabasamu na kicheko chako .nimekuandalia mahaba mazito utakapokuja nikuone Raha na hazina ya furaha na utamu.Love you

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.