Wednesday, 18 April 2018

ujuzi wa kweli

najisikia amani saa napokuwa a wewe umekuwa mwalimu wangu katika mapenzi kwani nimejifunza nini maaa ya kupenda, katika kufurahisha umenifurahisha najisikia raha napokuwa na wewe , taji ya kichwa changu katika upendo , unanijali la! nikuache wewe ninde kwa nani?
NAKUPENDA

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.