Ukweli Haufichiki.
Nashindwa kujizuia kufurahi Kwa mapenzi unayonipatia na Raha nilizonazo Kwa kuwa na wewe.umenifanya nijisikie watofauti sana wajua kuziweza hisia zangu sema moyo hauongei lait ungeufungua moyo umejaa tabasamu Kila nikuonapo.umekaa mbali nami namiss nikuone nione tabasamu na kicheko chako .nimekuandalia mahaba mazito utakapokuja nikuone Raha na hazina ya furaha na utamu.Love you